Simu yangu sipati notifications mda mrefu sasa na pia sahvi nikienda kwenye participated topics nakuta empty" naomba msaada wakuu natumia app
Mkuu na mimi nina tatizo kama lako, vp ushalipatia ufumbuzi????

Cjapata solution ad sahvi mkuu cjui shida nn. Kua hawaoni haya malalamiko au iko nje ya uwezo wao
[COLOUR=#FF0000][/COLOUR]ngoja nijaribu tena
we kilaza kwelikweli. Umeambiwa uandike color, wewe unaandika colour
=HebuSijaelewa ebu rudia tena...
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
nimekupata.
uko vizuri nielekeze plz