FOR GREAT THINKERS: Is Africa still a dark continent or a crucial partner in sustaining a better world?

Afrika niitakayo ni ile itakayo kuwa na serikali zitakazo anzisha Vitivo vya Sayansi za Kilimo, Afya, Ufundi na Uvumbuzi mwengine na kuviwezesha kifedha na kiutaalamu ili wanasayansi wetu wafanye Research kwa Maliasili zetu, Miti yetu, na Mbegu zetu tulizonazo Afrika.
sawa mkuu@
 
Asante sana kijana wangu. Ninaona unahoji juu ya nafasi ya bara la Afrika katika siasa za ulimwengu huu. Kudos.
 
Africa was never a dark continent its illusion from white thugs.
Timbuktu was first world university.

Ganges was Ethiopian general who ruled India.
Old Egypt ilikuwa kimbilio la watu wa mataifa

Africa ilikumbwa na majanga makubwa tu,hadi kutawaliwa na hao wapishi wa mchemsho.
Lakini historia hizi fupi fupi za kutawaliwa na wazungu hazina sifa kubwa kutuita dark continent.

Hata Uingereza ilitawaliwa na Greeks miaka 500 lakini likarudi kuwa Taifa kubwa.
China alikuwa maarufu,ukapotea,akatawaliwa,lakini sasa kurudi kwa speed ya radi.Wazungu nao wameisha anza kuonja joto la urofa, hawana tena viwanda kama enzi za mababu zao,wameishafulia.
Miaka 200 ijayo Africa itarudi kwenye kiti.
Umefafanua vizuri
 
Back
Top Bottom