FOR GREAT THINKERS: Is Africa still a dark continent or a crucial partner in sustaining a better world?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (last born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Eti ndugu zangu watanzania;

(1) Is Africa still a dark continent as it used to be addressed by the whites or a crucial partner in sustaining a much better world?

(2) If it's still a dark continent, for how long will it remain as such? and;

(3) If it's a partner in sustaining a much better world, how does it contribute to that?

(4) Should the International Community (African Union in particular) have been held to account for the 1994 Rwanda Genocide or it was just their own (Rwandese) internal political affair that no one should have meddled?

NINAOMBA KUWASILISHA MADA. KARIBUNI SANA KWA MICHANGO YENU NDUGU ZANGU.

dfvghtr.jpg


The first Russia-Africa Summit was held on 23–24 October 2019 in Sochi, Russia, co-hosted by Russian President Vladimir Putin and Egyptian President Abdel Fattah el-Sisi.

43 heads of state or government were in attendance. Putin emphasized "state sovereignty" and Russian willingness to offer aid or trade deals "without political or other conditions"

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKOIPASAVYO.

Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher - JamiiForums
 
To answer your question in concise ni kwamba Africa was never a "Dark Continent."

This rhetoric was used by White Supremacists to degrade the continent and control it. Just think of this, 1/3 of world commodity is from Africa, then why is Africa a poor continent? Answer is simple, Bad governance by most States (leaders).

Funny thing is, most of those leaders are mercenaries used or planted by the Whites to keep degrading Africa. It's a long story but branding Africa as a Dark Continent is an exaggeration
 
Wewe unachopaswa kujua ni jambo moja tu kuwa "Afrika ni giza na hatuna tunachokijua, yote tunayoyajua kuna waliotuletea"
Dini mmeletewa
Skuli mmeletewa
Zahanati mmeletewa
Hata shule mnakwenda kusoma history of science na si science. Ushahidi ktk hili mtafute mhandisi wa field yoyote ile then mpe challenge utapata jibu
 
White supremacy Ndio imesababisha Africa kuitwa Bara La kiza/Giza....... Mini ninapinga Na ninasema ndio Africa Ni mchangiaji wa Ukuaji wa mataifa mengi duniani

Huwa ninawaza kama sisi hatuna mchango, hatuna akili why watuwaze ..... wawaze kutufutilia mbali... we are the best ... ninaamini Na bila sisi Hawawezi mabeberu...

Sisi Ni Bora Kuliko wao ..

Nimejiandaaa na watetezi wa mabeberu
 
Wewe unachopaswa kujua ni jambo moja tu kuwa "Afrika ni giza na hatuna tunachokijua, yote tunayoyajua kuna waliotuletea"
Dini mmeletewa
Skuli mmeletewa
Zahanati mmeletewa
Hata shule mnakwenda kusoma history of science na si science. Ushahidi ktk hili mtafute mhandisi wa field yoyote ile then mpe challenge utapata jibu
Nasubiri kiongozi wa kiafrika awe kama Ghadafi, Aliyeweza kuwapaka wazungu ndani ya UN kwa kuwapa kavu kavu.

Afrika niitakayo ni ile itakayo kuwa na serikali zitakazo anzisha Vitivo vya Sayansi za Kilimo, Afya, Ufundi na Uvumbuzi mwengine na kuviwezesha kifedha na kiutaalamu ili wanasayansi wetu wafanye Research kwa Maliasili zetu, Miti yetu, na Mbegu zetu tulizonazo Afrika.

Serikali ya aina hiyo itakapokuja na kufanya mambo hayo, Mimi Naahidi Nitaiunga mkono na Kuifia kwa kuihami na kuipigia debe.

Serikali itakyo wajali Waganga wetu wa kijadi.
Mafundi wetu wa jadi.

Wakulima wetu wa asili wanaotumia mbegu za asili ,sio GM grain.
Itakayoendeleza Mila na desturi zetu kwa vitendo,sio maneno matupu.

Nahisi Nyerere alijaribu kinamna fulani lakini, Iko sehemu alikosea, ikiwemo Mfumo wake wa Ujamaa wa socialist.
 
Afrika ni shamba la Bibi. Kila siku tunajadili namna ya kuboresha mikataba ya uchimbaji wa madini, gesi, petroli na rasilimali zingine.

Hivi hatuna uwezo wa kuanza ku- exploit rasilimali zetu wenyewe. Kwani mitambo ya kuchimba madini ni Tsh. ngapi? Hata mkopo Benki ya dunia hatuwezi kupata kweli?

Waafrika tunaridhika na senti ndogo ndogo za mabeberu. Hatuwezi kutoboa hata kidogo.

Mbaya zaidi nchi zilizopiga hatua kama Libya, Misri, Nigeria n.k zinaingia kwenye machafuko. Vita vya wenyewe kwa wenyewe.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiri kiongozi wa kiafrika we kama Ghadafi,Aliyeweza kuwapaka wazungu ndani ya UN kwa kuwapa kavu kavu.
Afrika nitakayo ni ile itakayo kuwa na serikali zitakazo anzisha Vitivo vya Sayansi za Kilimo, Afya, Ufundi na Uvumbuzi mwengine na kuviwezesha kifedha na kiutaalamu ili wanasayansi wetu wafanye Research kwa Maliasili zetu, Miti yetu, na Mbegu zetu tulizonzo afrika.

Serikali ya aina hiyo itakapokuja na kufanya mambo hayo Mimi Naahidi Nitaiunga mkono na Kuifia kwa kuihami na kuipigia debe.

Serikali itakyo wajali Waganga wetu wa kijadi.
Mafundi wetu wa jadi.
Wakulima wetu wa asili wanaotumia mbegu za asili ,sio GM grain.
Itakayoendeleza Mila na desturi zetu kw vitendo,sio maneno matupu.

Wanasayansi hawa hawa waliokremishwa 'matirio' na sio kusoma independently ndio wafanye research kwa Maliasili zetu??...Kwetu Africa mambo mengi yanahitaji kufumuliwa muundo..kama tunataka kweli tuendelee...
 
Back
Top Bottom