FOR GREAT THINKERS: Is Africa still a dark continent or a crucial partner in sustaining a better world?

Africa was never a dark continent its illusion from white thugs.
Timbuktu was first world university.

Ganges was Ethiopian general who ruled India.
Old Egypt ilikuwa kimbilio la watu wa mataifa

Africa ilikumbwa na majanga makubwa tu,hadi kutawaliwa na hao wapishi wa mchemsho.
Lakini historia hizi fupi fupi za kutawaliwa na wazungu hazina sifa kubwa kutuita dark continent.

Hata Uingereza ilitawaliwa na Greeks miaka 500 lakini likarudi kuwa Taifa kubwa.
China alikuwa maarufu,ukapotea,akatawaliwa,lakini sasa kurudi kwa speed ya radi.Wazungu nao wameisha anza kuonja joto la urofa, hawana tena viwanda kama enzi za mababu zao,wameishafulia.
Miaka 200 ijayo Africa itarudi kwenye kiti.
 
Siku zote USA na wazungu wenzake wanakua wapo karibu sana na nchi yoyote inayoelekea kupata maendeleo ya kweli, na wanahakikisha hayapatikanwi. Egypt ipo mikononi mwa USA na wanahakikasha haitaendelea mana wakiendelea itakua ni hatari kwao. Wazungu waliziogopa sana Egypt na Libya. Libya tayari imeshamalizika.

Mkuu umemaliza kabisa. Hata Rwanda wameanza kuivutia timing!
 
Africa ni black continent na itaendelea kuwa black continent mpaka.

Nchi nyingi zilizoendelea zilianza kuwekeza kwanza kwenye elimu. Zikatoa cream flani na kutengeneza tabaka la watu wanaojitambua na kujitegemea. Kila mmoja ana-feel responsibility to better their life and the life of the community and country at large.

Sisi waafrika tunewekeza kwenye siasa na dini. Tunaamini Mungu atatufanyia hata yale madogo aliyoyaweka ndani ya akili na uwezo wetu.

We check ma-TO kina Elias Kihombwe (ambao kwa nchi za wenzetu ndo wavumbuzi na researchers wanaotegemewa) wako pale Bugarika wanamezesha madogo past papers za Physics na Kemia. Ikulu ina-scramble na wagonjwa wa pale JKCI kwa ajili ya Dr. Kissenge. Can you imagine!!
 
Back
Top Bottom