englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Yes, good Q (?) Okay What color,gender,shape ?lovely! nipate wapi ka-baby gelo jamani!
Yes, good Q (?) Okay What color,gender,shape ?
your request ntaishughulikia.
Ujaaliwe
Shukraan; there s 3 ways:- Moja special dua'a (prayers ya uzazi) ya pili mixed bloodna iwe hivyo!
anaza kuess'shen.......utaishughulikiaje?
Shukraan; there s 3 ways:- Moja special dua'a (prayers ya uzazi) ya pili mixed blood
na ya tatu adoption, ila ina cost kidogo.... lakini can be shared.
ok option zako!
ujaaliwe
Woow, Si amini at all, If time, wakati time never come kama utakavo wewe..option hizo kwangu zi halali....isipokuwa wakati na mazingira ndiyo hayaniruhusu!
asante!
Woow, Si amini at all, If time, wakati time never come kama utakavo wewe..
Na kuhusu mazingira we mwenyewe hutengeza mazingira yako na sii wakutengenezewa na mtu.!
ujaaliwe
my Dia, kwetu tunakawsemi haka :- Ukimuogopa binti ami yako huzai .....haya mkaka,,,,,,,,usijali lakini!
my Dia, kwetu tunakawsemi haka :- Ukimuogopa binti ami yako huzai .....
I assume nawe waogopa !!
ujaaliwe... sema Amin
lovely! nipate wapi ka-baby gelo jamani!
bado hujapata kwani?
sina ka baby gelo!!!
una vidume tu?