for girls

for girls

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
574942_4370131092794_734169446_n.jpg
 
...hata akina boflo wanapenda hizo kalaz...
 
na iwe hivyo!

anaza kuess'shen.......utaishughulikiaje?
Shukraan; there s 3 ways:- Moja special dua'a (prayers ya uzazi) ya pili mixed blood
na ya tatu adoption, ila ina cost kidogo.... lakini can be shared.
ok option zako!
ujaaliwe
 
Shukraan; there s 3 ways:- Moja special dua'a (prayers ya uzazi) ya pili mixed blood
na ya tatu adoption, ila ina cost kidogo.... lakini can be shared.
ok option zako!
ujaaliwe

option hizo kwangu zi halali....isipokuwa wakati na mazingira ndiyo hayaniruhusu!
asante!
 
option hizo kwangu zi halali....isipokuwa wakati na mazingira ndiyo hayaniruhusu!
asante!
Woow, Si amini at all, If time, wakati time never come kama utakavo wewe..
Na kuhusu mazingira we mwenyewe hutengeza mazingira yako na sii wakutengenezewa na mtu.!
ujaaliwe
 
mwenyewe umetamani hapo .......!! au waogopa burden of 9 months ?
quote_icon.png
By Paloma
lovely! nipate wapi ka-baby gelo jamani!
Ujaaliwe

mie bana kwenye uzazi sikumbuki kupata matatizo sana zaidi ya hofu ya kujifungua......ilikuwa ana ana do - c-section au natural! lakini kila kitu kilienda sawa, na hata sikuwahi kuumwa zaidi ya morning sickness ya kawaida!

tatizo inasemwa kila mimba ia mambo yake na uchungu haufanani! ndo mtihani huoooo
 
Back
Top Bottom