for girls

for girls

mie bana kwenye uzazi sikumbuki kupata matatizo sana zaidi ya hofu ya kujifungua......ilikuwa ana ana do - c-section au natural! lakini kila kitu kilienda sawa, na hata sikuwahi kuumwa zaidi ya morning sickness ya kawaida!

tatizo inasemwa kila mimba ia mambo yake na uchungu haufanani! ndo mtihani huoooo
Very good Friday, Shukuru sana haukuwa na complications="weldone very lucky baby" Ze 1st born ni boy or gelo ? wote wawe blessed na mom wao awalee vizuri na abarkiwe fortunes kabambe... say Amin. Ndo iwe success life and happiness. So wataka ku add hako kasweety girl? ndo maana nikakutakia Ujaaliwe Baraka na watoto.
 
Mimi nataka yenye......Winnie the pooh.......ipo.....?
 
Back
Top Bottom