FOR GAMers PES13 VS FIFA13

kila mtu na mapenzi yake myself napenda pes nacheza pes 2013 na kila nikijaribu fifa naona haviendi na hizi ni sababu zangu

1. Kwanza mimi ni anao anao.
Sipendi sana kupiga pasi napenda kukimbiza na kupiga chenga kama mshabiki wa man u lazima ni apriciate watu wanaoitwa mawinga. Ronaldo, messi, nani, ,moura, pastore, hazard ndo type zangu za wachezaji vitu hivi kwenye fifa sivipati game linataka mtu upige pasi tu.

2. Special effect
i like kudanganywa, i like vitu ambavyo ni imposible ndo mana nacheza games kupata vitu ambavyo real life sitavipata. Pes lina special effect nyingi kuliko fifa. Mfano kona mtu kubenjuka tiki taka badala ya kichwa ni kawaida kwa pes ila ni vitu adimu fifa hivi.

3.patch
kama alivosema leh pes lina patch nyingi tena ukiwa mtundu mtundu unaweza edit zile patch ukaeka vitu vyako unavyotaka. Mfano kueka mpira uwe sodo (chandimu) uwatoe wachezaji wa timu usiyoipenda ''vibusha'' (wa madrid watamueka lewandoski) na vitu kama hivyo.

4.master league na enter the legend zipo powa kwenye pes
master league una manage timu kama kocha uamuzi ni wako ucheze au uskip match. Aim ni kuchukua makombe, kupata hela then kutumia hela kusajili wachezaji wapya kuimarisha timu. Ukiwa unacheza una unlock vitu kama viatu ambavyo huaongeza ability za wachezaji.
Enter the legend unakua unacontrol mchezaji mmoja tu ili kumfanya na yeye aje kua legendary.


Kwa sababu hizo mimi hunitoi pes
 
Sehemu nyingine ambayo pes amepigwa bao na fifa ni katika kutengeneza sura za wachezaji yaani kuna wengine wamekaa full katuni!!











 

hahaha Level ya Legendar noma, hata ukibeba hiyo Barca na bado wanakupiga. Fifa mi nawapa heshima.
 

Computer(legendary) unaifunga vizuri tuu ..leo madrid kala 4-0 vs dortmund,
 
Computer(legendary) unaifunga vizuri tuu ..leo madrid kala 4-0 vs dortmund,

Duh basi wewe nimekuvulia kofia mimi naujanja wako wote levo yangu ya mwisho world klas ila naamini hata wewe unayeifunga komp ktk levo ya legendary ukija kwangu unakaa!!
 
Duh basi wewe nimekuvulia kofia mimi naujanja wako wote levo yangu ya mwisho world klas ila naamini hata wewe unayeifunga komp ktk levo ya legendary ukija kwangu unakaa!!
ni kweli kabisa..legendary unashinda vizuri tu ukiwa makini...na nnachoipendea fifa haina cha timu kubwa wala ndogo ..yaani unaweza ukakutana na katimu ukakadharau afu kakakupiga moja tu na usirudishe..mpaka mpira unaisha..au ukaiotea ukaipiga hata 6 bila...yaani its like how soccer true life is!! never underestimate your opponent..
 
Duh basi wewe nimekuvulia kofia mimi naujanja wako wote levo yangu ya mwisho world klas ila naamini hata wewe unayeifunga komp ktk levo ya legendary ukija kwangu unakaa!!

Hahahah jaribu siku uone, kama huiwezi computer (legendary) huja-qualify kucheza na mimi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…