for GAMERs:GTA somalia 2014

for GAMERs:GTA somalia 2014

jisungpark

Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
32
Reaction score
1
wakuu nimeiona trailer ya gta somalia siku nyingi you tube kama kweli rock star watashusha huo mzigo 2014 ni idea nzuri sana.hawa watu wanaweza aisee kwangu mimi ni the best kwenye mission games ebu tushirikishane kama kuna kali zaidi
 
Namalizia Call of Duty 4 then ntai download hiyo tuone kama iko poa au??
 
kwani umeshaipata the gta4 the ballade of gay tony?
 
Namalizia Call of Duty 4 then ntai download hiyo tuone kama iko poa au??

Mambo vp wakubwa?
me mwenyewe mdau sana wa haya Mambo tatzo Supply ya kupata ndo taabu..
Mkuu kama upo town(Dar) kama vp nkutafte tushare games..
Infact, natafta people tuwe 2naexchange games, movies, software n all that stuf
 
Kama unaweza ni pm but cpo dar na niko intersted ha hizo mambo zote
 
Mambo vp wakubwa?
me mwenyewe mdau sana wa haya Mambo tatzo Supply ya kupata ndo taabu..
Mkuu kama upo town(Dar) kama vp nkutafte tushare games..
Infact, natafta people tuwe 2naexchange games, movies, software n all that stuf

kama unahitaji game yeyote we ni pm then ntafanya utaratibu wa kui download ila kwa sasa hazizidi tano.. waweza ni pm kwa maongezi zaidi
 
Back
Top Bottom