for a while

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Ndugu zangunii tumekuwa pamoja katika masuala mbali mbali! Naomba nami nijipumzishe kidogo kwa kutoa shukrani zangu za dhati katika masuala yetu! Naenda hiji kwetu sasa na ntaondoka asubuhi na mapema kabisaa ili niwahi angalao kisusio

KWA HIYO NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA NA MBARIKIWE SANAAA NA TUKUTANE MWAKANI 2011 TUKIENDELEZA JUKWAA LETU!

JAMANI NTAWAMISI SANA ILA MUNGU WETU YU MWEMA NA TUTAKUTANA HAPA HAPA MWAKANI TUKIWA TUNA SHAURINA NA KUTIANA MOYO
AMEN
 
asante sana Kimbweka...
My God Bless u too...
and we wish u all the best wishes too...

when u come back, can u please do me a big favor please...
display ur picture coz i wana c how sex ur are .....lol

take care and we will c u next year....:party:
 
oohooo watu wesha jamani kila mtu enda kwao,,,,,,,si kazi hii,,,sie tusiokuwa na makwetu tutabanana hapahapa jf,,,,, kimbweka ? huko wendako ndugu jamaa,, marafiki wote wape hi,,,lakini uache kubusu vibint utakavyovikuta huko ndug tahadhari sana sana okey?????????? wish you a safe journey,,,, we will miss you men,,,
 
Ndugu zangunii tumekuwa pamoja katika masuala mbali mbali! Naomba nami nijipumzishe kidogo kwa kutoa shukrani zangu za dhati katika masuala yetu! Naenda hiji kwetu sasa na ntaondoka asubuhi na mapema kabisaa ili niwahi angalao kisusio

KWA HIYO NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA NA MBARIKIWE SANAAA NA TUKUTANE MWAKANI 2011 TUKIENDELEZA JUKWAA LETU!

JAMANI NTAWAMISI SANA ILA MUNGU WETU YU MWEMA NA TUTAKUTANA HAPA HAPA MWAKANI TUKIWA TUNA SHAURINA NA KUTIANA MOYO
AMEN
Mkulu heshima mbele...kumbe aikli huwa inarejea zizini... have a joyful festive season!!
 
Ndugu zangunii tumekuwa pamoja katika masuala mbali mbali! Naomba nami nijipumzishe kidogo kwa kutoa shukrani zangu za dhati katika masuala yetu! Naenda hiji kwetu sasa na ntaondoka asubuhi na mapema kabisaa ili niwahi angalao kisusio

KWA HIYO NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA NA MBARIKIWE SANAAA NA TUKUTANE MWAKANI 2011 TUKIENDELEZA JUKWAA LETU!

JAMANI NTAWAMISI SANA ILA MUNGU WETU YU MWEMA NA TUTAKUTANA HAPA HAPA MWAKANI TUKIWA TUNA SHAURINA NA KUTIANA MOYO
AMEN

Hee kutiana moyo! Wish you happy Holiday.
 
Safari njema 2takumis babu vitambi changu kimeshaanza kupungua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom