Football: Swali la Uelewa

Football: Swali la Uelewa

Kindred Spirit

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
457
Reaction score
661
Nakuwaga tu curious na kujifunza vitu randomly. Hivi karibuni nimekuwa nikijiulaza nani anahusika na kuwavalisha marefa wa mpira wa miguu?

Nimefanya quick search lakini naona tu habari za brand zinazozalisha hizi nguo zao, but nani analipia?, zinakuwa wapi? Nani anahakikisha kila mmoja ana nguo inayomfaa kwa size yake? Wanavaa mara moja au wanarudia? Nani anasimamia kuhakikisha kila mechi kila refa ana nguo ya rangi husika ya siku hiyo? Je huo utaratibu ni wa FIFA au kila nchi na taratibu zake, hapa kwetu Bongo uhalisia ukoje?

Nikifikiria idadi ya games zinazochezwa katika msimu achilia mbali mechi za kirafiki naona ni bajeti kubwa sana.
Thanks in advance 🙏.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kibongo bongo naamini wanajinunulia wenyewe, na watakuwa wanazirudia sana tu... Viatu ambavyo huwa wanavaa vinatofautiana sana, mwingine anapiga raba za Skechers wingine anapiga njumu za adidas za miaka ya 90, yale ma copa mundial huko yaani ni vurugu match.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom