Norton82
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,192
- 1,076
Kwahiyo JK jr kaamua kuheshimu katiba, it's a good move!Kamaliza kuongea mgombea wa PPRD ( majority ) ni Ramadhani Shadal
Kwahiyo JK jr kaamua kuheshimu katiba, it's a good move!Kamaliza kuongea mgombea wa PPRD ( majority ) ni Ramadhani Shadal
Yes,jamaa kacheza km Pele hapo kwa siasa za Congo Emanuel Ramadhan Shadal anashindaKwahiyo JK jr kaamua kuheshimu katiba, it's a good move!
Kwakweli tuendelee kuchunga wakati Jose akiendelea kuratibu harakati za kumpeleka Emanuel Ramadhan Shadal kwenye ikulu ya kinshasa!Yes,jamaa kacheza km Pele hapo kwa siasa za Congo Emanuel Ramadhan Shadal anashinda
Wacongo wameduwaa
Hii game JK Jr anaicheza ki ufundi mno ,nadhani hata humu hakumuamini baadhi
Tuendelee kuchunga /kusubiri
Hahaha, halafu yy anakua mwenyekiti wa chama ,jamaa siasa ya Congo anaijuaKwakweli tuendelee kuchunga wakati Jose akiendelea kuratibu harakati za kumpeleka Emanuel Ramadhan Shadal kwenye ikulu ya kinshasa!
Nishazipata Kabila kasalimu AmriKweli mkuu atupe update maana leo ndiyo deadline siyo!
Kasalimu amri au kafuata katiba,? Mkuu si ulikua unataka afuate katiba au ulitaka akomae ili aonekane mkorofi?Nishazipata Kabila kasalimu Amri
Kazuiwa, hajafanikiwa na muda umekwishaKatumbi kachukua form au?
Wewe ulikuwa ukituambia anagombea na ngoma ni yake.Kasalimu amri au kafuata katiba,? Mkuu si ulikua unataka afuate katiba au ulitaka akomae ili aonekane mkorofi?
Sasa tuchunge next stage itakavyokua game bado hii
Hahaha ,kwa mlango wa nyuma ni yy ,kwa mlango wa mbele ni huyo ShadalWewe ulikuwa ukituambia anagombea na ngoma ni yake.
Amemweka Mamuluki wake.Hahaha ,kwa mlango wa nyuma ni yy ,kwa mlango wa mbele ni huyo Shadal
Tuangalie hatua ijayo Mkuu ,itafurahisha zaidi
Kibongo sawa na bei ganForm za urais huko ni tsh Milioni mia mbili
Nadhani muda utaongezwa kwa siku 3-5 mbeleKazuiwa, hajafanikiwa na muda umekwisha
Watakuja kucheza ule mchezo wa Putin na yule waziri mkuu wake.Hahaha ,kwa mlango wa nyuma ni yy ,kwa mlango wa mbele ni huyo Shadal
Tuangalie hatua ijayo Mkuu ,itafurahisha zaidi
Mimi pia naliona hilo.Watakuja kucheza ule mchezo wa Putin na yule waziri mkuu wake.
Watakuja kucheza ule mchezo wa Putin na yule waziri mkuu wake.
Naungana nanyi ktk kuliona hiliMimi pia naliona hilo.
It is Benin if I'm not mistaken, Africa kazi ipo!Kuna mmoja kajiwekea pesa ya kuchukua fomu ni milion 900 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
It is Benin if I'm not mistaken, Africa kazi ipo!
Congo $ 100,000 ndogo sana hy ,wakuu njoeni muone watu walivyo na hela hukuKuna mmoja kajiwekea pesa ya kuchukua fomu ni milion 900 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo habari naitafuta humu nisome post nichekeCongo $ 100,000 ndogo sana hy ,wakuu njoeni muone watu walivyo na hela huku
Huyo wa Benini naona kakomoa