Fomu za wagombea urais zaanza kutolewa Congo DRC .

Fomu za wagombea urais zaanza kutolewa Congo DRC .

Hebu tuweke sawa mkuu tunasikia kuchukua form huko Ni $ laki moja sawa na tsh milioni 230 je limekaaje hili kweli si kweli....
 
Kuna wale wanaosema kuwe na ‘transitional government’ DRC ambayo itaongozwa na viongozi wa dini, itawale miaka 2-5, na ishughulike na kuandikisha wapigaji kura, na kuweka sheria mpya ya uchaguzi.

Sijui kama vigogo wa kisiasa kule Congo watayakubali haya?

War & Peace in the Congo(DRC) — Steemit
Hili litafanyika lini? Wkt uchukuaji fomu ushaanza?tatizo wa Congo hawajui wanataka nn
 
Yale yale ya charles taylor!!! Wazungu sio watu wa kuamini
Bemba hana lolote ,km yy kidume agomee uchaguzi ,Bemba yuko kimkakati ,wenzie wakigoma kwamba JK Jr asigombee yy Bemba atakubali ,lkn anajua hawezi kushinda

Tusubiri tuone
 
Habari kwenu wadau.

Nchini Congo DRC Fomu za wagombea urais zaanza kutolewa. Fomu hizi zinatolewa kuanzia tarehe 25/07/2018 hadi 08/08/2018.

Hata hivyo siku ya kuanza na ya pili zimepita bila kutokea mgombea hata moja aliyechukua fomu . Hayo yanajiri huku tetesi zikivuma kuwa Kabila atagombea awamu ya tatu licha ya katiba kutomruhusu.

Vyama vingine vimeshatangaza wagombea wao rasmi lakini kuna usiri ktk chama cha Kabila cha PPRD.

Ktk hali ya kushangaza idara ya uhamiaji nchini humo imetoa taarifa kuwa RAIA mwenye uraia pacha au nchi mbili asithubutu kuchukua Fomu ya urais. Hapa analengwa Moses Katumbi, baadhi ya mawaziri serikalini na wabunge machachari wenye uraia wa aina hii.

Hata hivyo mawakili wa Mosee Katumbi wamesema mteja wao hana uraia wa nchi mbili na Italy inayohusishwa na uraia huo imemkana Katumbi. Moses Katumbi anahofiwa mno na Rais Kabila.

Nitzidi kuja na updates kila siku hadi tarehe 08/08/2018 na hata hadi uchaguzi mkuu nchini humo 23/12/2018.
MREJESHO: Marekani yamuonya Kabila asidhubutu kugombea Urais na aheshimu katiba. Hayo yamesemwa Leo kt baraza la umoja wa mataifa n naibu Balozi wa Marekani ktk umoja huo Jonathan Cohen
Kuchukua fomu ya urais nasikia ni $100,000
 
Bemba hana lolote ,km yy kidume agomee uchaguzi ,Bemba yuko kimkakati ,wenzie wakigoma kwamba JK Jr asigombee yy Bemba atakubali ,lkn anajua hawezi kushinda.
Kabila na Bemba kwa sasa hawaptani kabisa.
 
Moise katumbi,aruhusiwa kuingia Congo, kupitia mpaka wa Zambia na RDC , kasumbalesa,baada ya kukwama kutua airport ya Lubumbashi
 
Moise katumbi,aruhusiwa kuingia Congo, kupitia mpaka wa Zambia na RDC , kasumbalesa,baada ya kukwama kutua airport ya Lubumbashi
Si alishahukumiwaga kifungo cha miaka 3 jela hapo DRC au?
 
Back
Top Bottom