Fomu za wagombea urais zaanza kutolewa Congo DRC .

Umeongea point nimesema huko juu wapinzani Congo hkn kitu,hata huyo Moise hkn kitu ,na Bemba kmunavyosema ni system /,project ya JK Jr

Bemba hawezi kuungana na wapinzani, Moise ana kesi ya kujibu nje ya siasa

Mbaya zaidi wa Congo man nao wanaukabila
Okay. Nilikuwa nasoma sheria zao za Uchaguzi, zinasema ili mtu awe eligible kugombea Urais lazima uwe umeishi nchini kipindi kisichopungua mwaka mmoja. Technically Bemba atakuwa knocked out..Ngoja tusubiri tuone..
 
Kinachonishangaza muda umeenda na ni Bemba pekee kachukua fomu. Umesema pia hawezi kugombea kutokana na kigezo hicho. Wagombea kama vile wanategana na kesho ni mwisho. Hii nchi bila shaka ina jinamizi. Kama ni hivyo turufu ya upinzani ni kwa Felix Tshekedi na Vitalis Camere.
 
Hahaha, waliochukua fomu
Pierre Bemba
Vital Kamere

Felix Tshishekedi bado labda mchana huu,

JK Jr inasemekana kesho anachukua

Pia nadhani kuna mgombea mwingine kachukua

Muda tuchunge/tusubiri muda wa kufunga uchukuaji fomu bado
 
Ka

Kabila anachkua ili iweje
 
Hawa jamaa wana strategies na uhuni ndani yake.Nafikiri katika nyakati ngumu JK Jr. ameshawahi kupitia, hili nalo ni gumu kwake. He has a pressure, kutoka ndani na nje( Jumuia ya kimataifa) na USA imesema ole wake Kabila achukue Form. On other side, kila mgombea aliyetangaza nia (Aspirants) wote watakuja kilipiza kisasi kwa Kabila. siyo Bemba, Felix or Vital Kamere, wote hawaaminiki na Hofu ya kabila ni kuwa..kama hatoshitakiwa basi anaweza kuikimbia Nchi (Mobutu style). The only option ni yeye kuchukua form na kulazimisha kugombea (Nkurunziza style) and whatever the consequences. Ukiangalia kwa mapana:-
i) Wakongo (Congolese) wenyewe wako divided na wengi wangependa kabila JR. abaki especially wale wanaonufaika naye..​
ii..Kuna conflict of interest kati ya EU, USA, na Baadhi ya nchi chache za kiafrika especially Rwanda and Uganda. EU na akina kagame wanataka kabila abaki kulinda maslahi yao nchini DRC...wakati USA inataka kabila aondoke madarakani. kwa mfano, Nchi kama China, Ureno na Ubelgiji wamevamia msitu Congo (Congo Forest) na wanakata mbao bila kizuizi. Juzi niliona wanaharakati wa kimazingira wakipiga kelele kuhusu uteketezwaji wa Congo forest, which is second after Amazon...Serikali ya Congo yenyewe iko kimya.​
iii...Natural Resource Curse...kama alivyoandika mwandishi mahili Duniani, Joseph Stiglitz, ndiyo laana inayowatafuna DRC na wakongo wenyewe. DRC haiwezi kupata Amani kamwe...labda utulivu wa muda mchache. Adui wa wakongo ni wakongo wenyewe...​
​
 
Tusubiri muda ni muamuzi mzuri. Muda wa kila kitu kujulikana ni Leo mchana.
 
Hahaha, waliochukua fomu
Pierre Bemba
Vital Kamere

Felix Tshishekedi bado labda mchana huu,

JK Jr inasemekana kesho anachukua

Pia nadhani kuna mgombea mwingine kachukua

Muda tuchunge/tusubiri muda wa kufunga uchukuaji fomu bado
Mkuu umenikumbusha hilo neno la kuchunga(kusubiri), kiswahili ya wakongomani 🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️
 
Mtu chake mbona leo kimya? Tuambie yanayojiri huko Congo DRC.
 
Hawa jamaa wana strategies na uhuni ndani yake.Nafikiri katika nyakati ngumu JK Jr. ameshawahi kupitia, hili nalo ni gumu kwake. He has a pressure, kutoka ndani na nje( Jumuia ya kimataifa) na USA imesema ole wake Kabila achukue Form. On other side, kila mgombea aliyetangaza nia (Aspirants) wote watakuja kilipiza kisasi kwa Kabila. siyo Bemba, Felix or Vital Kamere, wote hawaaminiki na Hofu ya kabila ni kuwa..kama hatoshitakiwa basi anaweza kuikimbia Nchi (Mobutu style). The only option ni yeye kuchukua form na kulazimisha kugombea (Nkurunziza style) and whatever the consequences. Ukiangalia kwa mapana:-
i) Wakongo (Congolese) wenyewe wako divided na wengi wangependa kabila JR. abaki especially wale wanaonufaika naye..​
ii..Kuna conflict of interest kati ya EU, USA, na Baadhi ya nchi chache za kiafrika especially Rwanda and Uganda. EU na akina kagame wanataka kabila abaki kulinda maslahi yao nchini DRC...wakati USA inataka kabila aondoke madarakani. kwa mfano, Nchi kama China, Ureno na Ubelgiji wamevamia msitu Congo (Congo Forest) na wanakata mbao bila kizuizi. Juzi niliona wanaharakati wa kimazingira wakipiga kelele kuhusu uteketezwaji wa Congo forest, which is second after Amazon...Serikali ya Congo yenyewe iko kimya.​
iii...Natural Resource Curse...kama alivyoandika mwandishi mahili Duniani, Joseph Stiglitz, ndiyo laana inayowatafuna DRC na wakongo wenyewe. DRC haiwezi kupata Amani kamwe...labda utulivu wa muda mchache. Adui wa wakongo ni wakongo wenyewe...​
​
Umenena mkuu
 
Back
Top Bottom