Fomu za wagombea urais zaanza kutolewa Congo DRC .

Hahaha, hawa wapinzani wacongo vichwa vyao havitumiki vyema

Walitaka JK Jr aitishe uchaguzi na yy afuate katiba kwa kutogombea

JK Jr kafanya km walivyotaka na katiba inavyotaka

Sasa wanakuja na Madai mapya
Eti uchaguzi usiwe wa kutumia machine za kieletroniki ( OK inawezekana hili )

Eti mwili wa Mzee Tshishekedi uletwe kwanza

Eti Moise aruhusiwe kugombea hata km mamlaka zilimkuta na tuhuma

Eti hawamtaki Emanuel Ramadhan Shadal kuwa ni MTU wa nguvu mno

Tuendelee kusikia nini kitajiri zaidi

Nadhani mwisho ni serikali ya mseto/mpito /pamoja
 
Real lets enjoy the show!
 
Back
Top Bottom