Fomu za CMA (Commission for Mediation and Arbitration)

No_Worries

Member
Sep 27, 2016
65
95
Wakuu,

Msaada please, aliye na Fomu (form) za kufungulia shauri kwenye tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) naomba anirushie hapa. Natafuta soft copy sababu hard copy inachangamoto zake kuijaza. Ukiwa na CMA form number one ama two (yoyote uliyonayo) tafadhali nakuomba unitumie.

Natanguliza shukrani
 
Wakuu, inamaana hizi fomu watu hawana? ama ni ubusy wa weekend? Tafadhali na unazo nisaidie Mtanzania mwenzako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom