Foleni zingine ona!! zetu afadhali sana.....

Foleni zingine ona!! zetu afadhali sana.....

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
13,996
Reaction score
15,120
BBwiG2C.img
 
Kuna rafiki yangu mmoja alisemaga foleni ni ishara ya maendeleo.
 
Duuuhhh hiyo foleni ndio maaana watu wananunua jet
 
Hapo ni kawaida tu magari yakiwa yanaenda kawaida, kwani ni njia nyingi tu hapo spaghetti junctions, ila traffic mbaya zaidi kutokea duniani ilikuwa China mwaka 2010 ambapo watu walikaa barabarani kwa siku 12 umbali wa km 100 yaani magari yalikuwa yanatembea km1 kwa siku.
FACT
 
Alafu nlikua nakutafuta swaheeb kuna uzi kule serikali inakataza ndevu Na sharubu sijui umeona
 
Hapo Kuendesha tu eneo kwa watanzania
lazima yatokee yalutokea
 
Back
Top Bottom