KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,155
- 40,949
Lakini mimi nashukuru wa kwangu unanituma kwenda kuoga chooni...........Naujua sana KikulachoChako na kweli ukiupata huo ugonjwa yabidi utafutiwe tiba mapema sana maana kifuatacho utaishia jela