Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 310
Kuna mwanamziki mmoja hapo Bongo alitoa kibao kinaitwa WATU KIBAO..
huo wimbo ni mzuri sana ukisikiliza maneno yake, na utagundua kuwa japo tunawasema Benki kwa sasa lakini bongo kila utakapoenda ni foleni tu kwa sababu ya Watu kibao
Hospital - WATU KIBAO
TANESCO - WATU KIBAO
POLICE - WATU KIBAO
BARABARANI-WATU KIBAO
MPAKA MOCHWALI - WATU KIBAO
....
....
sio watu kibao, huduma mbovu. Wewe nchi kama England population yake ni around 51mil na ni ndogo sana kwa size ukilinganisha na TZ, lakini huduma zake babu kubwa. Hapa hujazingatia percentage ya watu wanaotumia ma-bank.