NMB Tarime boresha huduma zenu ATM mashine

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
479
1,253
Hili tawi la NMB Tarime mjini mnaboa na huduma zenu,

Foleni ndefu kisa mashine hazifanyi kazi ipasavyo, wateja wenu wanatumia muda mrefu kwenye foleni na shughuli zingine zinakwama

Mambo ya foleni ni miaka 15 iliyopita, haipendezi kutumia muda mrefu kwenye foleni kisa mashine zenu zinazingua, hii benki ni kubwa kwa nini huduma zenu zinaboa?
 
Back
Top Bottom