tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,864
- 3,851
Bado tatizo la Foleni lipo maeneo ya Korogwe, Kimara, Picha ya ndege na kwa Mathias Kibaha.
Wahusika fanyeni jitihada za haraka na makusudi kuondoa kero hii.
Wahusika fanyeni jitihada za haraka na makusudi kuondoa kero hii.