Foleni Korogwe, Kimara na Kibaha

Lazima waweke flyover Mbezi mwisho

na hizi barabara za pembezoni zikamilike zianze kutumika...hapo ndio kutakuwa na ahueni
 
Huwa hapa Korogwe kwenda kimara Mwisho kwanza changamoto kubwa ni daladala na bajaji.

Pia ile kona aisee imekaa ovyo sana sana sana. Sijui kwanini waliifinya vile. Kwanza naona inatisha sana na ndo maana hata wengi wanafia sana pale. Hopefully wataganya jambo juu ya hilo.
 
Hakuna kitu inakera kama foleni. Napendekeza njia za mwendokasi zitumike pia panapokuwa na foleni kubwa
 
Foleni za Dar ni there to stay! Yani foleni kuisha ni kudhibiti magari yasiongezeke tu.

Ndio maana kadri lami zinavyopanuliwa hamna ahueni! Kila mtu anataka aje afaiti life Dar akipiga miaka miwili mitatu akatoboza ananunua kigari chake.
 
Ilijengwa Barabara mpya kimara posta ati ni double road kila upande wakati kiuhalisia ni single road na hasa ukizingatia hakuna kituo, hivyo kila penye kituo Barbara inabaki moja matokeo yake kuanzia kimara Hadi posta ni foleni mwanzo mwisho.

Balaa linakuja hizi njia mpya zikifunguliwa watu watiririke kutoa KIBAHA waje kubanana kwenye hizi njia zilizochakachuliwa kuanzia kimara. Bila shaka foleni ya kwenda mjini itafika mbezi.
Kutoka kimara kwenda posta wapi kuna foleni ya kutisha??
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom