Kulikuwa na foleni sana Leo pande zoteVipi toka mbezi kwenda ubungo?
Kuna muda mpk na zima gari na sahau km nipo kwenye folenVipi toka mbezi kwenda ubungo?
Planning mbovu. Yaani ka mji kama haka kila sehemu ni foleni.Mm huwa sielew kinacho fanya folen kuwa kubwa mpk mtu unahisi kuchngnykiwa Lkn unapo sogea taratibu hkn kinacho sababisha hiyo folen
Ni yale yale. Uwe unakaa mjini au nje ya mji bado utakuwa affected na foleni. Sababu sio muda wote utashinda mjini.Sisi tunaokaa mjini si mnasema tunawaiga kina patel
Hivi kuna kitu gani hawa CCM walishafanya kwa UFANISI ukiacha wizi na uchafuzi wa Mfumo wa Uchaguzi??CCM IMESHIDWA BIG TIME.
KIMARA HAKUNA MWENDO KASI, KUNA FOLENI YA KUFA MTU.
MKUU WA MKOA YUPO,
MKUU WA WILAYA YUPO,
TANROADS WAPO
TARURA WAPO.
WAZIRI YUPO USINGIZINI ANAOTA UCHAGUZI TU , TENA KWA KUIBA KURA
Tatizo kubwa ni kuwa watanzania karibu wote tumeshazoea shida na maisha duni kiasi cha kuona jambo kama hili kuwa ndiyo maisha yalivyo duniani kote. Watu wala hawashangai tena. Nakumbuka mika ya nyuma hawa watawala wetu walioshindwa kila kitu kuna mmoja alidiriki kusema kuwa hizo foleni ni baraka ya maendeleo etu uchumi umekuwa na watu wamenunua magari. Ukishakuwa na mindset za aina hii tegemea majanga zaidi. Tungekuwa tunafanya reseach ni maisha ya watu wangapi yanapotea kwa sababu ya hizi foleni na uchumi unadidimia kiasi gani tungepata figure za kutisha.Aisee hii foleni ni kali sana wakuu magari hayaendi
Ila kila ukifikiria namna utavuopata tsbu kupata usafiri wa kurudi home jioni, unaona bora tu uende na gari mjini.Inafika mahali watu hawaoni hata sababu ya kuendesha magari kwenda katikati ya mji.
Ni yule muhuni ndio alisema hivyoTatizo kubwa ni kuwa watanzania karibu wote tumeshazoea shida na maisha duni kiasi cha kuona jambo kama hili kuwa ndiyo maisha yalivyo duniani kote. Watu wala hawashangai tena. Nakumbuka mika ya nyuma hawa watawala wetu walioshindwa kila kitu kuna mmoja alidiriki kusema kuwa hizo foleni ni baraka ya maendeleo etu uchumi umekuwa na watu wamenunua magari. Ukishakuwa na mindset za aina hii tegemea majanga zaidi. Tungekuwa tunafanya reseach ni maisha ya watu wangapi yanapotea kwa sababu ya hizi foleni na uchumi unadidimia kiasi gani tungepata figure za kutisha.