Foleni Dar es Salaam


huko nje ya mji waachieni wastaafu....vijana njooni huku sinza,kijitonyama,mwenge,makumbusho etc....sasa huko kiluvya sijui kibamba bata huwa mnakula wapi??chalinze?!
 
Nimetoka kibaha mail moja saa 12.30 asbh town saa 9.45 alasiri sasa kama ndo umeajiriwa barua si unaikuta getini

waatalamu ebu tafitini mtueleze n I mabiion mangapi yapoteayojuu ya hii foleni
 
Nimetoka kibaha mail moja saa 12.30 asbh town saa 9.45 alasiri sasa kama ndo umeajiriwa barua si unaikuta getini

waatalamu ebu tafitini mtueleze n I mabiion mangapi yapoteayojuu ya hii foleni

eeeehhhhhhh!!!!! hii safari ya dar-london!!!
 
leo jion ndio kimbembe unaweza kurudi home hata ham ya Ku do imeisha cos of uchovu
 
mkandarasi anae tengeneza barabara ya Morogoro anaboresha service road kwa ajili ya waendao kwa miguu,kwa hiyo dawa ni kutembea
 
Bila serikali kuacha tabia ya kutaka kilakitu kiwe huko mtaishia kukaa barabaran kuchat na sm na kusoma magazet! Polen sana mi nakaa km 17 kutoka ninakopatia riziki ila huwa natumia robo saa tu kwa mwendo wa kawaida
 
Bila serikali kuacha tabia ya kutaka kilakitu kiwe huko mtaishia kukaa barabaran kuchat na sm na kusoma magazet!

haha mie huo muda nakuwaga busy Jf tu ndio naonaga at least nitafika niendako
 

Attachments

  • 1402930902093.jpg
    49.4 KB · Views: 95
Badala ya kuleta nafuu imekuwa kero, bora taa!
 
Masaa mawili na nusu kutoka Kamata mpaka Tazara!
 
Wakitaka foleni iishe inabid watangaze sikukuu kila siku au wazuie magari kuingia mjini, hakuna wanaloweza fanya kwa sasa kuondoa folen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…