Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Pole sana ni shidah.. Foleni ya leo mtu unatoka mabibo hostel mpaka chuo 1.30hrs this is headache
nimepita hapo naelekea mwanza na zuberi III .kwa hali niliyoiona ni heri ulale tu huko huko kazini weekend ndo urudi home.
_ni mtazamo tu
Heri tulio mbali na jiji hilo!
heri yenu maana sa hivi raia wanatembea kwa miguu kutoka huko ubungo kuelekea shekilango
naona watapata usafiri mbele kwa mbele
kwa hii hali ni sawa nyie mmeshatoka tayari?
hapa bado foleni ya Jangwani ngasoka
Uchaguzi ukija hamtaki mabadiliko sasa mnacholalamika ni nini?hii foleni ni balaa tangu saa 11.47 alfajiri niko ubungo Oilcom lakini muda wote huo hadi sa hivi 12.40 ndo nimefika ubungo plaza reporting time kazin ni saa moja na naelekea mjini lakin ndio kwanza niko hapa sijui nafika saa ngapi
huyu mwajiri atachoka kunielewa
mabasi yanayotoka stand kuu nayo yanaenda kupitia kule shekilango inazidi kuongeza msululu wa folen
nataman hata kupaa kwa kweli
Hapo shekilango ndo panapoweka foleni...yaani ni nouma sasa ngoma yenyewe ni jioni utatamani upae...
Pale jangwani pananikera dah
hii foleni ni balaa tangu saa 11.47 alfajiri niko ubungo Oilcom lakini muda wote huo hadi sa hivi 12.40 ndo nimefika ubungo plaza reporting time kazin ni saa moja na naelekea mjini lakin ndio kwanza niko hapa sijui nafika saa ngapi
huyu mwajiri atachoka kunielewa
mabasi yanayotoka stand kuu nayo yanaenda kupitia kule shekilango inazidi kuongeza msululu wa folen
nataman hata kupaa kwa kweli