fogiveness

ossy

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
872
Reaction score
143
Nawasalimu wakuu! nimerudi na ID mpya baada ya kupigwa ban ya wiki moja! naomba mnijulishe jinsi ya kuomba msamaha kwa mederators ili wanisamehe na kuniondelea ban! ni kosa la kwanza halitatokea tena.please moderators sikilizeni ombi langu wakuu.Nawakilisha
 
Fanya kama alivyokuelekeza Preta.
 
Ban ina raha yake bwana. Hebu pumzika kidogo ufanye mambo mengine na uokoe hela ya internet. Lol.
 
Kumbe kuna kuomba msamaha! Dah!
 
kumbe unakiri ulikosea...................na ulifanya makusudi
 
msamaha wa nini wakati ushatoka kama hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…