Focus ya TECNO J8 imekufa

Focus ya TECNO J8 imekufa

jakwadoda

Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
57
Reaction score
67
Habari zenu wanajukwaa!Kama kichwa cha uzi kinavyosema,nina miliki smart phone kwa mwaka sasa
Ila sasa nashangaa siku hizi nikitaka kupiga picha picha haitoki poa yaani inakua imeblur sana kama ni maandishi ndo huwezi kusoma kabisa yan siku hizi simu yangu hainisadii tena kwenye masuala ya picha.Naombeni msaada wenu katika hili,nifanyeje?
 
Back
Top Bottom