FNB bank ( first national bank)

FNB bank ( first national bank)

Karibuni FNB bank kwa wanaohitaji kufungua bank account tuna salary account, savings account, fixed na flexi fixed account. Na tuna hii account inaitwa Goldcheque account ni especially kwa waajiriwa na wafanya biashara wanaotaka mikopo binafsi na mikopo ya nyumba hii inawafaa. Karibuni. Nimeambanisha attachments.
9bf2d98ede1d17a54be8ba2b26fdbc35.jpg
6d6b9bb7c6b923859426e49c54ba6425.jpg
Naomba no za mfanyakazi wa kike wa hilo tawi lenu.
 
Nataka kufungua akaunti kwenye hii bank ila huku nilipo hakuna branch. Je kuna njia ya kufungulia akaunt online?
 
Back
Top Bottom