Dodo18
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 315
- 93
Karibuni FNB bank kwa wanaohitaji kufungua bank account tuna salary account, savings account, fixed na flexi fixed account. Na tuna hii account inaitwa Goldcheque account ni especially kwa waajiriwa na wafanya biashara wanaotaka mikopo binafsi na mikopo ya nyumba hii inawafaa. Karibuni. Nimeambanisha attachments.