nkyalomkonza
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 1,154
- 444
Hizo zinasubiri pesa za Wahisani. Budget haina maana kuna Cash. Na Hilo ndilo tatizo la nchi hii, mwaka utaisha na hakuna pesa zitakazotoka.Kumbuka kuwa Marekani mmeshawaudhi kwa kuweka Bendera kwenye Meli za Magaidi.Uingereza wanasubiri na wewe ukubali kuwa Shoga ndio wakupe msaada, Labda utuhaidi kwamba unakubaliana na masharti yao.Wadau,Serikali yetu sikivu, kupitia chama kilichopewa ridhaa ya kuongoza nchi na wananchi weengi, imetangaza bungeni kupitia jemedali MAGUFURI kuwa pesa zimetengwa kwa ajili ya flyover Tazara.Tuiunge mkono serikali ya JK katika kutimiza ahadi.:israel:![]()