Flyover TAZARA Imetengewa Bajeti - Magufuli

Hata waungwana wanaponawa huanza usoni!

Kujenga flyover si suala la chama tawala ni suala la mapato ya nchi ambayo ni kodi za kila mmoja wetu kwa hiyo si zawadi ni HAKI YA WATANZANIA tunaolipa kodi kupewa usafiri mzuri. Uungwana wa kunawa kwanza uso na kusahau kuosha kikwapa ni ustaarabu wa ajabu sana maana kitanuka tu. Kwa hiyo vikwapa vya KAGODA, MEREMETA, TANGOLD, RADA, VIJISENTI, MABILIONI KATIKA MABENKI YA USWISS, BENDERA YETU KWA TANKERS ZA IRAN yote ni mnuko yasipotolewa maelezo ni sawa na kunawa uso huku ukiwa hujaonga kwa mwezi utanuka tu hadi mdomoni. Ogopa mnuko toka kwapani
 
Ivi gari ikitoka bandarini kupitia mandela road ikaja kutana na fly over ya TAZARA ikatua na kuja kukutana na foleni ya pale buguruni then ya pale tabata alafu ya kule ubungo!
Flyover ya TZR apo itakuwa ni kama tone la maji kwenye bahari!
 
Tanzania signs three exchange notes with Japan

THE dream of having at least the first flyover in Tanzania which is to be built later in Dar es Salaam city appears to come true following the signing of the preliminary stage of a detailed structural design of a project between Tanzania and Japanese governments in Dar es Salaam.

The two countries recently signed three Exchange of Notes under which the government of Tanzania will access grant assistance to facilitate its three projects from the Japanese government amounting to the total value of 1.552 billion Japanese Yen, which is equivalent to Tanzania shillings 28.2 billion.

The Minister for Finance, Dr. William Mgimwa led Tanzania government during the signing ceremony whereas the Japanese Ambassador accredited in the country Masaki Okada led the Japanese government in this occasion which took place yesterday at the headquarter of the Ministry of Finance in Dar es Salaam. Minister Mgimwa said in his key note address that, the first project involves a detailed design worth Japanese Yen 67 million, approximately Sh. 1.26 billion which covers a flyover for the TAZARA intersection where Nyerere Road crosses Nelson Mandela Road in which a double-lane flyover will be laid.

This is flyover which many Tanzanians have been waiting for with anxiousness. Authorities in Japan have already approved a detailed design for the multi-billion shilling flyover project to be built at the junction of Nelson Mandela and Nyerere roads, paving way for construction works to start next year.

In the second project the Japanese government under the project for improvement of transport capacity in Dar es Salaam, will make available to Tanzania government is a grant amounting to Japanese Yen 1.108 billion,

Soma zaidi hapa

KNOWLEDGE MATTERS: Tanzania signs three exchange notes with Japan
 
Hii safi sana, nadhani hii ndoto itatimia.

Wako watu wanatamani vitu kama hivi visitokee waendelee kupata porojo za kuongea majukwaani!
 
Hii safi sana, nadhani hii ndoto itatimia.

Wako watu wanatamani vitu kama hivi visitokee waendelee kupata porojo za kuongea majukwaani!

Usikurupuke kama umepaliwa,hakuna ambae hataki maendeleo.Tatizo ni pale porojo nyingi huku hakuna kinachoonekana.Timizeni mnachoongea muone kama kutakuwa na kelele.
 
Hongera sana Waziri Magufuri ni mpango mzuri wa kuondoa foleni kwenye Jiji letu la Dar es Salaam, naona kazi zinafanyika ukipita barabara ya Morogoro unakutana na Strabag Kampuni kutoka Ujerumani wanatengeneza barabara za mabasi yaendayo kasi.
Hongera kwa mafuriko na madimbwi?
 
Serikali hii kwa longolongo hadi waanze kazi ndio nitaamini, walisema imetengewa bajeti mwaka jana na mwaka huu tena wanazungumzia kutenga bajeti?

tazara-flying-over-jan26-2013.jpg


Mfano wa daraja la TAZRA litakapokamilika, Flyover za Ubungo na Magomeni ahadi hiyo itawekwa kwenye ILANI ya Uchaguzi ya 2015.

IMG_2837.JPG
 
mbona kila bajeti magufuli hadithi zile huyu naye WEKA MBALI NA NYUMBA ZA NHC.
 
Back
Top Bottom