Bugududu Sududu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2014
- 600
- 700
kiongozi hii yako inaonekana kuchukua eneo kubwa
MfanoKuepusha gharama kubwab za fidia wenzetu huamua kujenga mji mpya hivyo utakuta old na new town. CBD ya Dar haiwezi kuboreshwa bila kubomoa baadhi ya ujenzi ili ku-improve traffic circulation, Kwahiyo ma-flyover Ubungo na TZR huenda yaka-solve peripheral traffic flow snags snags na kuacha CBD congestions palepale. Ila majuzi nilisikia Wajapani wanakuja kusaidia kuhusu barabara za Dar. Inatia moyo.
Kuna mpango wa mji wa kisasa wa kigamboni sijui uliishia wapi !!! Nadhani ulisemekana unafadhiliwa na George Bush !!!Kuepusha gharama kubwab za fidia wenzetu huamua kujenga mji mpya hivyo utakuta old na new town. CBD ya Dar haiwezi kuboreshwa bila kubomoa baadhi ya ujenzi ili ku-improve traffic circulation, Kwahiyo ma-flyover Ubungo na TZR huenda yaka-solve peripheral traffic flow snags snags na kuacha CBD congestions palepale. Ila majuzi nilisikia Wajapani wanakuja kusaidia kuhusu barabara za Dar. Inatia moyo.
Mkuu napenda maendeleo ndoo maana naota ndoto za kima endeleo endeleo .Hizi ndoto za kuota saa 11 jioni hazikuacha salama mleta uzi
Sawa, nipo mbali kidogo, ngoja waje wajuvi huenda wanayoNenda pale watakulatia
Kweli watanzania Kwa kupenda misifaa kwakuwa tumezaliwa kwenye nyumba za tembee tunadhani na nchi zingine wamezaliwa kwenye tembee tangu lini intet section ikawa barabara au flow over ikawa barabara za juu?mbona miji mingi Kenya zipo hata hawajitambi wanaona bado hakuna maendeleo,ni wajibu Wa serikali kufanya hayo tuache Sifa za wajibu
Sawa tutaanza KUPONGEZA mazuri anayofanya Rais kama sehemu ya WAJIBU wake. Vipi nyie msiokuwa wapinzani kuna ambayo mnakosoa pale ambapo wajibu hautekelezwi ipasavyo au nikusifu tu kila jambo? Tunaomba tujifunze kutoka kwako ni yapi UMESIFIA na ni yapi UMEPINGA/ UMEKOSOA.Kwanza nimpongeze Rais John joseph pombe Magufuli, kwa kujenga mirad mikubwa hasa ya barabara za juu, .Wapinzani jifunzeni kupongeza mazuri sio kila kitu kupinga tu.
Leo nimepita Tazara nimeona barabara za juu zipo kwenye finishing, Zinapendeza,
Kwa Ubungo ilitoka Ramani mara ya kwanza ,lakini tuliarifiwa imebadilishwa ,
Mimi kama mpenda maendeleo ,naomba Mwenye ramani au mchoro wa simulation Mpya wa barabara za juu za UBUNGO atupe tuone jinsi nchi yetu itakavyopendeza,
Nimekuwa nikisikia hizi barabara za juu za ubungo zitakuwa ni zaidi ya zile za TAZARA, hiz zitakuwa na ghorofa mbili au tatu.
Mungu mbariki Raisi John joseph pombe Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza mm sio ccm, mm ni mwananchi huru ,ccm nawapinga na nawapongeza, vile vile upinzani,Sawa tutaanza KUPONGEZA mazuri anayofanya Rais kama sehemu ya WAJIBU wake. Vipi nyie msiokuwa wapinzani kuna ambayo mnakosoa pale ambapo wajibu hautekelezwi ipasavyo au nikusifu tu kila jambo? Tunaomba tujifunze kutoka kwako ni yapi UMESIFIA na ni yapi UMEPINGA/ UMEKOSOA.
Pombe akijenga hii wakenya watahamia Tanzania kumuunga mkono.