Flyover inayofaa Ubungo ni hii hapa

Flyover inayofaa Ubungo ni hii hapa

Kale kaghorofa ka tanesco kananikera sana. Hadi Sasa kapo vile vile huku ujenzi wetu wa flyover unaendelea. Kasije kukwamisha juhudi.
Au design mpya haihitaji katoke.
 
Kuna mtu kaninong'oneza hela za kujenga hizo barabara za hewani hapo makutano ya ubungo haipo, iliahidiwa ila hadi wanaingia mitamboni hiyo hela hakuna anayejua itakuja lini.
Pia aliniambia wanasubiri simenti ishuke bei hafi tsh 5,000 ndo waanze ujenzi.

Don't quote me, Kasie ni mtu wa Mahaba huku napita tuu.
 
Naona Hiki ndo kikichojengwa pale..tho kuna utofauti kidogo
 
Magari yanayotoka mjini kuelekea Kimara yatapita chini (mshale wa zambarau )na magari yanayotoka kimara kuelekea ubungo na mjini ya tapita chini(mshale wa njano)


sB9tgWg.jpg
Kama Dar hakuna nafasi ya kutosha kujenga fly-over za kisasa kama hii basi tutaijenga pale Msamvu-Morogoro au Dodoma, au Mwanza huko bado kuna nafasi tele na hata kama itahitajika kubomoa baadhi ya majengo, fidia siyo kubwa sana kama dar!
 
Nadhani morogoro inafaa zaidi- kwa sababu ni njia panda kubwa,nchini..... inaunganisha magari mengi kutoka katika nchi/mikoa mbali mbali
Kama Dar hakuna nafasi ya kutosha kujenga fly-over za kisasa kama hii basi tutaijenga pale Msamvu-Morogoro au Dodoma, au Mwanza huko bado kuna nafasi tele na hata kama itahitajika kubomoa baadhi ya majengo, fidia siyo kubwa sana kama dar!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWA MAONI YANGU NADHANI MCHORO HUU UNAFAA UKIJENGWA PALE UBUNGO MATAA , KUMEKUWA NA MICHORO MINGI ISIO ENDANA NA UFINYU WA NAFASI YA PALE UBUNGO NA NI YA GARAMA KUBWA LAKINI HUU KIDOGO UNABANA NAFASI NA NI RAHISI MTU UPANDE WOWOTE KUINGIA NA KUTOKA . NAFIKIRI WENGI WETU MNA JUA ADHA YA KUINGIA UBUNGO TERMINAL UKIWA UMETOKEA MJINI LAKINI KUNGEKUWA NA FLYOVER YA NAMNA HII TUSINGEPATA ADHA YA KUINGIA STAND KUU NA KUELEKEA MJINI,MWENGE NA BUGURUNI NA KIMARA.

ASANTENI.

ANGALIZO .

MSIINGIZE SIASA HILI NI WAZO BINAFSI.

View attachment 842968
Kwanza nafasi ya kuweza kuimplement hii ramani hamna Ubungo, pia issue ya Ubungo Bus terminal ni ya muda tuu, soon itaamia Mbezi mwisho so kero yake itaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom