Flyover inayofaa Ubungo ni hii hapa

Flyover inayofaa Ubungo ni hii hapa

Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50 na ina majiji na miji zaidi ya 100 lakini ukiongelea mji kila mtu anafikiria Dar es salaam, flyover kila mtu anafikiria Ubungo na TAZARA, ukiuliza kununua au kuuza utasikia Dar es Salaam!
Hamuoni mindset hizi ndizo zinatufanya kuendelea kuwa masikini!??
 
KWA MAONI YANGU NADHANI MCHORO HUU UNAFAA UKIJENGWA PALE UBUNGO MATAA , KUMEKUWA NA MICHORO MINGI ISIO ENDANA NA UFINYU WA NAFASI YA PALE UBUNGO NA NI YA GARAMA KUBWA LAKINI HUU KIDOGO UNABANA NAFASI NA NI RAHISI MTU UPANDE WOWOTE KUINGIA NA KUTOKA . NAFIKIRI WENGI WETU MNA JUA ADHA YA KUINGIA UBUNGO TERMINAL UKIWA UMETOKEA MJINI LAKINI KUNGEKUWA NA FLYOVER YA NAMNA HII TUSINGEPATA ADHA YA KUINGIA STAND KUU NA KUELEKEA MJINI,MWENGE NA BUGURUNI NA KIMARA.

ASANTENI.

ANGALIZO .

MSIINGIZE SIASA HILI NI WAZO BINAFSI.

liB3dh9.jpg

mkuu umedisign au umeprovide?
 
Vile vituo vya mwendokasi itabidi tuvivunje na tumevijenga juzi tu
Vituo havivunjwi ila mwendo kasi atapita chini kutakuwa na lane zake kama kawaida tena itamsaidia sana maana pale huwa anasimama kwa muda mrefu muda wa asubuhi kuruhusu mabus ya ubungo yaondoke mapema maana huwa yanatumia njia ya mwendokasi .
 
Kuna watu wanaumiza vichwa sana kwa ajili ya Tanzania ila kuna mtu mmoja anaweza kusababisha uichukie Tanzania ,wazo zuri sana
 
Huyu Engineer ina faa afukuzwe kazi!!
Utawekaje Fly over kama tuta la viazi!
Haipambi mji! Wala siyo kivutio!!
Imenyooka tu!! UDSM Product au?
Hahaha umeona eee alafu kuna wakuu kule skycrapercity wameisifia nilishanga sana.
 
ingekuwa vyema zaidi kama tungefanya divergence za shughuli zingine miji mingine mfano tu wa delhi na new delhi maana sasa hv kila shughuli ili ikamilike ni lazma twende posta almost
tatizo maeneo mengi ya wakubwa alafu dar yenyewe imejaa kila sehemu sasa wakihamisha wizara kuna garama za kununua viwanja na kujenga hayo maofisi ya gorofa.
 
hivi vitu ni rahisi na vinawezekana na vingeshafanyika miaka mingi tu nyuma,,shida asilimia kumi.. rusha na ubinafsi...kadri tunavokwenda ardhi inapanda na watu wanaongezeka...kama ubungo kwa sasa hapawezekani mpaka fidia itembee sana unles mchoro ubadilishwe ambao utakua gari zaidi
Mkuu Tanzania kuna vipawa vya ajabu sana ambavyo tunaweza kuvitumia vizuri kutusogeza mbele lakini bahati mbaya sana mentality mbovu ya kuamini sana wageni ndio inatugharimu pamoja na kuendeza sana mambo ya 10%
 
KWA MAONI YANGU NADHANI MCHORO HUU UNAFAA UKIJENGWA PALE UBUNGO MATAA , KUMEKUWA NA MICHORO MINGI ISIO ENDANA NA UFINYU WA NAFASI YA PALE UBUNGO NA NI YA GARAMA KUBWA LAKINI HUU KIDOGO UNABANA NAFASI NA NI RAHISI MTU UPANDE WOWOTE KUINGIA NA KUTOKA . NAFIKIRI WENGI WETU MNA JUA ADHA YA KUINGIA UBUNGO TERMINAL UKIWA UMETOKEA MJINI LAKINI KUNGEKUWA NA FLYOVER YA NAMNA HII TUSINGEPATA ADHA YA KUINGIA STAND KUU NA KUELEKEA MJINI,MWENGE NA BUGURUNI NA KIMARA.

ASANTENI.

ANGALIZO .

MSIINGIZE SIASA HILI NI WAZO BINAFSI.

liB3dh9.jpg
Mwendo kasi yanapita wapi?
 
Kuepusha gharama kubwab za fidia wenzetu huamua kujenga mji mpya hivyo utakuta old na new town. CBD ya Dar haiwezi kuboreshwa bila kubomoa baadhi ya ujenzi ili ku-improve traffic circulation, Kwahiyo ma-flyover Ubungo na TZR huenda yaka-solve peripheral traffic flow snags snags na kuacha CBD congestions palepale. Ila majuzi nilisikia Wajapani wanakuja kusaidia kuhusu barabara za Dar. Inatia moyo.
 
Back
Top Bottom