mavado JF-Expert Member Joined Jun 25, 2014 Posts 1,158 Reaction score 816 Jul 20, 2014 #1 Wadau niko vizuri sana katika hizo lugha, kama kuna kazi naweza fanya, nisaidieni
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,388 Jul 20, 2014 #2 mavado said: Wadau niko vizuri sana katika hizo lugha, kama kuna kazi naweza fanya, nisaidieni Click to expand... Unaweza kuimba?
mavado said: Wadau niko vizuri sana katika hizo lugha, kama kuna kazi naweza fanya, nisaidieni Click to expand... Unaweza kuimba?
mavado JF-Expert Member Joined Jun 25, 2014 Posts 1,158 Reaction score 816 Jul 20, 2014 Thread starter #3 Nduka said: Unaweza kuimba? Click to expand... Kwa english ndio, lakini kwa french hapana..
S svoca JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 373 Reaction score 70 Jul 20, 2014 #4 mh lugha bila ujuzi wowote? ngoja wadau waje!
Feiaidan JF-Expert Member Joined Jun 1, 2013 Posts 237 Reaction score 130 Jul 20, 2014 #5 Naomba msaada, nifundishe kifaransa!
Feiaidan JF-Expert Member Joined Jun 1, 2013 Posts 237 Reaction score 130 Jul 20, 2014 #6 mavado said: Wadau niko vizuri sana katika hizo lugha, kama kuna kazi naweza fanya, nisaidieni Click to expand... Naomba msaada, nifundishe French.
mavado said: Wadau niko vizuri sana katika hizo lugha, kama kuna kazi naweza fanya, nisaidieni Click to expand... Naomba msaada, nifundishe French.
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,215 Jul 20, 2014 #7 kuna kazi ya kufundisha watoto kifaransa nyumbani.🙁DSM) hupo tiyari?
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,504 Reaction score 6,199 Jul 20, 2014 #8 rolla said: kuna kazi ya kufundisha watoto kifaransa nyumbani.🙁DSM) hupo tiyari? Click to expand... hupo tuyari?? labda una kazi ya kumenya viazi kwenye kijiwe cha chipsi
rolla said: kuna kazi ya kufundisha watoto kifaransa nyumbani.🙁DSM) hupo tiyari? Click to expand... hupo tuyari?? labda una kazi ya kumenya viazi kwenye kijiwe cha chipsi
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,215 Jul 20, 2014 #9 Kigogo sijaelewa kwa nini umekwoti nilichoandika.
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,359 Jul 20, 2014 #10 Utapata tu vumilia.