Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Kwisha kazi huyu mzee wa matambo
 
CEDYCzRXIAA3iCt.jpg
 
Manny ana kasi kwenye kupiga hafu anavizia amdondoshe mechi ngumu sana timing kwa kila mtu
 
mayweather anawekwa Kwenye kona anakumbatia sana huyu jamaa
 
Hatutaki Ushabiki Wa Team Money Au Team Manpac.Tupeni Fair Updates Wakuu.
 
Money sijui kama atamaliza round kwa mwendo huu
 
Thanks majigo jaman tupeane update ivo ivo yaani uku ni sheedah
 
Back
Top Bottom