Tatizo watu hamuelewi brand /image ya mtu na promotion yake...
Huyu jamaa anaitwa Floyd Money Mayweather kwahio image yake ndio hio ya mapesa.., na ndicho kinachomfanya awe tofauti na icons wengine.., its working for him and it put more than food on the table.., na wewe kama ustaarabu wako ndio unakupatia mkate wa kila siku fair to you.., ila sio busara ku - criticize kinachofanya kazi kwa mwingine.., unadhani hapo angeweka picha kavaa suti yake watu wangeiongelea na kuipost kila kona ya dunia ? (That is what is called free publicity in the business industry)