Floyd Mayweather bana!

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781
Kule kwenye facebook page yake, kabadilisha profile picture ndo kaweka hii.

 
kama zingekuwa zinazuia kifo kiisimfikie ningeona maana zaidi.
 
hajui kusoma vizur wala kuandika ---- kabisa
 
He just got paid 32 mil. guaranteed plus the PPV revenue.

They don't call him 'Money' for nothing!
 
Amuulize tyson,wanakutumia wakikuchoka wanakutema kama bublish
 
sasa jamani mm napita njia gani ambayo sikutani na huo mzigoooo ?
 
Wabongo angekuwa hapa tayari mshamkaba na roba zambao
 
Mwacheni atese kwani kazi anayofanya ni moja ya mchezo m-baya sana hapa duniani. I love Mayweather.
 
Mambo ya kufanya Binti yake au yule wa kiume,,,anafanya jitu zima namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…