Solomon David
JF-Expert Member
- Mar 1, 2009
- 1,148
- 16
Cha kusikitisha zaidi... zile sehemu maskini zaidi kama kondoa kaskazini ndio bado wanawapigia ccm... kweli mtaji wa ccm ni jinga, maradhi na umaskini
Nimeendelea kufuatilia matokeo ya uchaguzi Tanzania. So far, kwa yale ambayo yameripotiwa, CHADEMA imefanya (kuongoza) katika mikoa ya ziwa, kaskazini na nyanda za juu kusini. Ukifuatilia sensa ya karibuni, hii mikoa (ukiacha mkoa wa Dar) ndio ina watu wengi Tanzania.
Mkoa wa Dar es salaam, chadema imebanana na ccm (kuongoza baadhi ya vituo). Mikoa ambayo chadema haikufanya vizuri sana ni kati (singida etc), kusini (lindi na mtwara) na zanzibar. Population ya hii mikoa yote combined, ni sawa ni population ya mikoa ya mwanza na shinyanga. BTW, katika mikoa hii (na mingine ya Pwani), ccm imegawana kura na chama cha CUF.
Kwa flow hii, Dr Slaa ana nafasi kubwa sana ya kushinda uraisi wa Tanzania.
Unless .........
mbunge wao ni zabein mhita... if you know this woman then you will know why they are like thatHawa wanahitaji msaada mkubwa sana...Ikibidi hata maombezi na Novena!
So far Chadema imechukua karibu miji na majiji yote makuu ukiacha Dar ambayo nayo bado iko kwenye hatihati labda na Dodoma, vile vile imejiongezea Halmashauri ukiacha Karatu na Tarime kuna Moshi mjini pia, big up Chadema.
Kila nikiangalia link aliyotuwekea Maxence..........NEGATIVE
ni kweli leo ndiyo niamini kwamba wanjinga ndiyo wengi sana ccm...mfano kati ya watu 5 ambayo hawakuweza hata ku-tick kiongozi wanao mtaka wote ni ccm...na wakati wa uhesabuji kura kura njingi za ccm utakuta wametick zaidi ya mara moja....Cha kusikitisha zaidi... zile sehemu maskini zaidi kama kondoa kaskazini ndio bado wanawapigia ccm... kweli mtaji wa ccm ni jinga, maradhi na umaskini
Mkuu Ogah, Max bado ana-update link yake
Tatizo si Max, tatizo ni chanzo rasmi.... maana hadi sasa chanzo rasmi ni vituo tu ambavyo kura zake si zaidi ya 500. Lakini taaria zisiizo rasmi (ambazo nyingi ni sahihi) tunazipata humu, kule nadhani kuanzia asubuhi zitakuwa zinashuka kwa kasi na wote mtahamia huko
Amani ya bwana iwe nanyi nyote!