Sikonge,
Nilisoma na L Nducha huku Bukoba - Ndolage Nursing School - Hivi yupo wapi siku hizi?
Johas,Mpiga kipeng'a
Did u mean " Narrow minded?"
Mkuu, nadhani kuna ukweli kwenye hili, kwenye matangazo ya BBC leo jioni, nimemsikia Sarleem Kikeke akimtania kuwa 'kwenye kidole cha chanda kuna kitu upo tayari kunambia?' Akasema 'hapana, nimefumba mdomo'
So kuna ukweli fulani, japo details ndo bado scant
Hongera Flora kwa kumpata mwenza
kaizer ungesoma mawazo ya wenzako juu, kama kweli member mfia jf. kaka bbc wamesema hivyo ndo iweje. wanachokataa hapa ni matokeo ya umbea, tetesi zizojenga kutoka vilabu vingine. huoni kuwa kwa kuaminiwa kwa habari za hapa na kuonekana za muhimu hata baadhi ya vyombo vya habari wanaquote kama reliable source. HAKUNA JUNGU HAPA,.
Big up F.Nducha maana ungezeeka hivi hivi bila kuwa na single.
Wanao sema udaku na umbea hawa hawakutakii mema tafadhari naomba nialike kwenye mnuso. Najua upo hapa hapa.
kwani we ume oa/olewa na nani?Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???
Big up F.Nducha maana ungezeeka hivi hivi bila kuwa na single.
Wanao sema udaku na umbea hawa hawakutakii mema tafadhari naomba nialike kwenye mnuso. Najua upo hapa hapa.
Akiwa kijana au mtu mzima wewe inakuhusu nini?Fidel ukitoka kwenye mnuso basi uje na jibu toka kwa dada yetu akujuze kama shemeji yetu ni "mtu mzima au la"
Akiwa kijana au mtu mzima wewe inakuhusu nini?
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???
Mmmh!!sasa kuolewa ni nongwa? hovyoooo....ukimjua ndo iweje? ndo yale yale ya mara oh.......charles boniface kaachana na mkewe betty mkwasa mara oooo kajengewaa na wanaume nyumba ya ghorofa mara ooooo ana mabwana ukiwa nazo tu wee twende mtakalia hayohayo wenzenu wanayeya........ lakini si busara kuwasema watu kwa vitu ambavyo hamvijui wala hamna uhakika navyo fikirieni mngesemwa nyinyi na nd. zenu plus waume, wake na watoto wenu wasome uchafu huo kwenye glob mngejisikiaje? hovyooooooo..........yatawashinda laana kum nyie!!!!
Mbona hili la mtu mzima limekuudhi, hayanihusu lakini na ww Pretty shemeji yetu ni mtu mzima auAkiwa kijana au mtu mzima wewe inakuhusu nini?