Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

Nimeamini mwanamke ndiye anaeamua ndoa iendelee ama la, hongera Flora wewe ndo unayejua moto wa ndoa yako ya Kwanza. WANAWAKE WENGINE WANAVUMILIA SABABU YA WATOTO TU.
Kwamba mwanaume hana uwezo wa kuamua kama aendelee na ndoa au la? Umedanganya.
 
Kumdhihaki MUNGU ni kitu mbaya sana.mtumishi anapaswa kujua kila lililo mbele yake kwa nguvu ya roho wa MUNGU.so hakujua kua Mbasha siyo mumewe awali?yaani hii dunia hii...hiyo siku ntajipitisha hiyo njia ya ufukweni hapo kuelekea Ikulu.mdogo mdogo na ki Rav4 changu nijionee maajabu ya kanda ya ziwa
 
dah....hizi dini hizi! Na mtoto ni wa huyo Kusekwa ama Mch. GwaJ? Ama wa Mbasha?🙁🙁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom