Floods Alerts,Uzi Maalum wa Taarifa za Mfuriko na Barabara zilizofungwa

andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,962
2,000
Habari za wakti huul

Kwa sababu hakuna mfumo maalum wa Disaster Alert and Management kwa nchi yetu halo inayofanya upatikaji wa Taarifa kuhusu,Majanga yoyte,Kufungwa kwa barabara na mengineyo kuwa ni wa kubahatisha nimeona nianzishe huu uzi kwa ajili ya kupeana Updates za Disasters hasa bara bara zilizofungwa kipindi hiki cha Mvua ili kurahisisha upangaji wa safari na Usafiri.

Karibuni tupeane Taarifa.Ukiweka Update weka na Source pamoja na picha kama upo eneo la tukio.
 
MANI

Platinum Member
Feb 22, 2010
7,287
2,000
Barabara ya segera to korogwe imefungwa toka Jana mandera culvert imeenda. Jana pia daraja ya kwedikwazu wilayani handeni ilijaa maji magari yalikwama mkata kwa kuwa njia ya kuzungukia handeni kuna daraja limebomolewa. Njia ya kaskazini ni ngumu.
 
andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,962
2,000
Barabara ya segera to korogwe imefungwa toka Jana mandera culvert imeenda. Jana pia daraja ya kwedikwazu wilayani handeni ilijaa maji magari yalikwama mkata kwa kuwa njia ya kuzungukia handeni kuna daraja limebomolewa. Njia ya kaskazini ni ngumu.
Mwenye taarifa hizi barabara zimeshafunguliwa?Kaskazini kunaendeka au mpaka watu wapande ndege?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom