Flirting. . .

Ahhhh naona kashaleta mapozz...eti hajafurahia ulivyoomba ruhusa ya mwanamke kamili.

eRRy acha maringo.


sio maringo. nilipoona kaweka neno coquette nilimuona mjanjaaa na mchezo

anaweza kuucheza wa ku flirt, akanitamanisha. teh teh teh.
 
Hapana baki nae, hamu isha nitoka. sipendi wanaume wa kuomba ruhusa. hua hawajuagi kuflirt.
Mpaka kuwa Mwanaume kamili basi ujuwe Masharti na vigezo vimezingatiwa na siyo kama yule Boss kupandisha watu vyeo kazini anataka sambusa!!
 
Lizzy, Matola na Erotica, baada ya kusoma majibizano yenu nimeelewa kuflirt wanawake tu.
Lazima kuwe na les lesi za kwenye nguo.
 
Last edited by a moderator:
Ahhhh naona kashaleta mapozz...eti hajafurahia ulivyoomba ruhusa ya mwanamke kamili.

eRRy acha maringo.
Kamnyima Boss kazini, halafu na huku anataka kunivurugia ili aniachie manyoya, hapa nimeamuwa za mbayuwayu nichanganye na zangu.
 
Mpaka kuwa Mwanaume kamili basi ujuwe Masharti na vigezo vimezingatiwa na siyo kama yule Boss kupandisha watu vyeo kazini anataka sambusa!!


Uwanaume kamili unatumia vigezo gani? sababu katika vigezo vya mwanaume kamili kwa post

zako za page moja tu hii umefeli! nani alikupa hicho cheti? isije ikawa alikua na nia sawa

kama alio nayo boss. Kanipandisha cheo sio kwa vigezo ila tu nimpe. tafakari chukua hatua.
 
Kamnyima Boss kazini, halafu na huku anataka kunivurugia ili aniachie manyoya, hapa nimeamuwa za mbayuwayu nichanganye na zangu.



teh teh teh. mwanaume kamili na visingizio juu? aaiiii!!
 
Miss Erotica, nahitaji Miss Independent.
 
....hapana, I dnt flirt at all.....ila navutiwa sana na jina la Kipipi.....utotoni 'pipi za kijiti' aka lollipop was my fav.... πŸ˜‰

Good one shem Mbu, usijethubutu ukamfanya dada yangu Mj1 akakonda bureee!! Btw, hapo kwenye pipi......dah....hopefully ziko replaced na vanila za ukubwani by now! Lol
 
Last edited by a moderator:
Flirting ya humu hainitowi usingizi, si ulishasema kuwa hata hatujuwani?
 
Nimefuatilia kwa makini sana hii thread na kugundua kitu muhimu sana....HUMU NDANI NYIE WOTE WAROHO πŸ™‚
 
I flirt for fun..I don't flirt for love..Holla

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

haswaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Si bora humu hatujuani...watu wana flirt facebook na real ID na ni wake/waume za watu. Utasikia 'you look sexy'...'you look hot'.

Ama wana wenza wapole.
 
Tunaumizana roho jamani, mnanikumbusha mbaali!cc; Kongosho, mshenga na binamu wangu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…