Flirting. . .

kwanza nafurah leo nimeingiza vocabulary niliokuwa siijui

Hii kitu si nzuri hasa kwa mtu ambaye atakuwa seriaz afu kumbe ur jst westing his/her time.... na kama mnataniana tu huwa HAINOGI.... inanoga pale 1 side akiwa seriaz.. kwa tuliooa na kuolewa tuache hii mambo bana
 
RussianRoulette, just a word for your post, I loved it and I miss this wisdom! ... All the best!!
 
Last edited by a moderator:
Sredi yenyewe ya kuflirt lazima kuitendea haki...maadam wewe bado kigoli, hebu come this way babe....lol :A S-baby:

Kaizer ukinisogelea tena nakupiga ngwara. . . siwezi flirt na wazee mimi.
 
Last edited by a moderator:
Angekua sio Uncle wangu nikekushahuri u-flirt nae tuu.
Vibabu dili siku hizi... hasa vibabu hivi vya JamiiForums
Hahahaha. . Mwali unataka nijiHusninyo mambo yakichanganyika?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha. . Mwali unataka nijiHusninyo mambo yakichanganyika?
Take it kwamba Husninyo aliondoka sababu ya serie of events
sio episode ya babu tu, "journey in JF, season one" nzima
Halafu flirting is just flirting, hakuna kukutana huko uraiani
Pia una flirt huku ukijua tayari kua Uncle ni kibabu fulani
so there is no expectation zaidi ya hizo flirts, just do it! lol
 

Hivi unajua kuondoka JF ni kazi sana huyo mtu yupo sana anajivinjari JF ila yupo sana jukwaa la kikubwa
 
Hhhmmm sitaki aisee. . .
Kwanza naogopa tindikali.
 
Hhhmmm sitaki aisee. . .
Kwanza naogopa tindikali.
Hahahahaha, hapo sasa! Mi simo, ngoja nipotee...
Hivi mimi na Saint Ivuga tuna flirt au tunatania?
Babu akimwita mjukuu wake kama mchumba wake
Nambie, ni flirting au ni utani wa babu na mjukuu?
Maana nahisi utani wangu na Ivuga ni more like that
It has no explicit sexual interest, like the flirts do...
 
Last edited by a moderator:
Mmmh, Mende0, ntakusimilia kitu hapa siku moja.
Umenichekesha sana, but not today.

Heee umesha tolewa bikra tayari, mi nilikwambia hao wazee wanakudanganya wanaingiza kichwa kumbe haina mabega ona sasa
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha. . .we Mwali acha ujanja. .
Nyie mnaitana mpaka kuoga sijui kuogeshana alafu unasema ham-flirt? That is pure flirting.

Babu na mjukuu ni utani, hata ile ya kijana/binti mkubwa na mtoto mdogo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…