Naomba msaada kwa yeyote anayejua anifahamishi hizi mbegu zinazoitwa kwa kiiingereza Flax Seed au Lin seed zinaitwaje kwa kiswahili na ni wapi naweza nikazipata Dar es salaam, au mahali pengine Tanzania.
Pia naomba kujuzwa samaki ambaye anaitwa Salmon kiingereza, je kwa kiswahili anaitwaje?
Asanteni kwa msaada wenu
Pia naomba kujuzwa samaki ambaye anaitwa Salmon kiingereza, je kwa kiswahili anaitwaje?
Asanteni kwa msaada wenu