Flash yangu majaaanga!!

Flash yangu majaaanga!!

steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
11,672
Reaction score
13,996
wakuu,kila nikiifungua inaniambia ipo write protected wakati sijaiprotect,nikitaka kuiformat inaniambia hvyohvyo,nikitaka kusave data the same,jamaani nisaidieni naiformat vp hii flash hii??
 
wakuu,kila nikiifungua inaniambia ipo write protected wakati sijaiprotect,nikitaka kuiformat inaniambia hvyohvyo,nikitaka kusave data the same,jamaani nisaidieni naiformat vp hii flash hii??

Bila shaka hiyo ni scandisk
 
hiyo ni RIP uwe unajaribu kununua hz ADATA, mana sandisk na kingstone ni balaaa
FORMAT / XG:
 
Back
Top Bottom