Flash tools or Signed Firmware

sawa kwenye utengenezaji wa hizo mambo upo na kiango gani mkuu
Codes haina suala la viwango. Kwasababu project huwa unapambana step kwa step.
Ila kama kuna viwango wewe ungesema upo kwenye kiwango gani.
Kiufupi nilifanya coding 2010 mpaka 2013 nikapoteza laptop yangu yenye masomo yangu ya miaka 3. Nikaacha kabisa mpaka 2020. Ndo nataka kuanza tena kama wewe upo sawa then tuunganishe project ili tuweze kufanya jambo.
Tunaweza kuanza na FRP tool then flash tools.
Ila mm nafanya codes zangu kwa c++ na vilevile vb.net
Ila nipo vizuri pia kwa c#.
Wewe je?
 
IN BOX CHAP
 
nashindwa kutoa hizi version kubwa eg frp like infinix,tecno cammon na natumia MIRACLE CRACK NIFANYEJE MKUUU
kutoa frp kwa hizi vission kubwa inatakiwa uwe na DA file ni simpo sana kama unaipenda miracle basi chukua miracle 3.2 ni nzuri sana na inafaa
vile vile zipo tool nyingi ngoja nikuletee liast na link zake
 
sawa huku tutaleta mrejesho
Tunaanzaje?
Unatumia language gani kufanya codes?
Kiufupi tuanze project yetu na tuangalie tunaanza na nn? Ni project gani tunataka kufanya. Kama ni flash tool ama frp tool. Mtk ama spd ama qualcomm.
Lete mrejesho wa idea zako pia. Tangalie wiki moja kama kunamwingine atajitokeza tuungane ama tutabaki wawili tu tufungue group kwaajili ya project yetu.
 
Naona hii project watu wapo kimya. Kweli watu wachoyo na ideas zao. Hata hivyo tayari nimeshaanza soon nitaweka hapa kwa majaribio
 
kutoa frp kwa hizi vission kubwa inatakiwa uwe na DA file ni simpo sana kama unaipenda miracle basi chukua miracle 3.2 ni nzuri sana na inafaa
vile vile zipo tool nyingi ngoja nikuletee liast na link zake

mkuu kuna hii error nifanyeje???? nimeinstall miracle thunder..then nikiifungua ndo inaleta hayo maandishi
?
gsm.PNG
 
kutoa frp kwa hizi vission kubwa inatakiwa uwe na DA file ni simpo sana kama unaipenda miracle basi chukua miracle 3.2 ni nzuri sana na inafaa
vile vile zipo tool nyingi ngoja nikuletee liast na link zake
Unafanyaje kutoa frp kwakutumia DA file,tupe ujuzi brother wahanga tupo wengi sana.
 
Frp means FACTORY RESET PROTECTION.hii ni kama kumzuia mtumiaji asiweze kutumia device mpaka aingize security details kama vile google account,or lock screen passwords,kama nimekosea kurekebishwa ruksaa brother.
 
Sawa. Je wewe ni fundi au una aidea yeyote juu ya maswala ya simu? Je Namna ya kuflash, jinsi ya kutumia Tools
 
Back
Top Bottom