MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,105
- 3,068
Nina idea brother,sio fundi.
Kama sio fundi unahitajia ujikite zaidi katika ufundi ili uweze kuwa mzoefu. Kwanza unatakiwa uwe na Pc au Desktop then unatakiwa u-install Driver za Chip husika ya simu unayotaka kuifanyia kazi.
Pia unatakiwa ufahamu simu husika ni chip aina gani ukishafahamu ndo process za kuifanyia kazi unaanza maana bila kufahamu chip ya simu huwezi kufanya chochote.
Hizi ni chip baadhi MTK, SPD, QUALICOMM, N.k....
Unaweza ukawa na Simu ya Tecno lakini Chip yake ikawa ni Mtk, Spd, au Qualicom.
Vile vile unawez ukawa na Infinix lakini chip yake ikaw Mtk, Spd, Qualicomm.
Pia unatakiwa ufahamu kwanini simu zingine zinahitaji DA na zingine zinakubali vizuri.
Ngoja niishie hapo watakuja na wezangu kumalizia