napenda movie
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 522
- 457
Basi pamekuepo na uhitaji mkubwa sana na changamoto kwa baadhi ya watu hasa pale simu zao zinapozima gafla muda mwingine kuwaka kwa kuganda hivyo wameshindwa kupata ufumbuzi au wamepata lakini kwa bahati mbaya wakashindwa kufanikiwa.
Leo tukutane hapa ntatoa tool zenye watumiaji wengi wa simu vile vile kama wewe ni fundi simu wa software kuna kitu umekosa iwe ni firmware tool DAfile NVROM na vingine vingi tukutane hapa tutagawana ujuzi na kwa mhitaji wa tool ama firmawere ata patiwa bure kabisa kwa asilimia 80.
Japo kuna baadhi ikiwa couple ya simu yake ipo kwenye malopo atalipia pia bila shaka kwa wanaofanya hizo kazi watakua wamenielewa tutaanza na flash tool moja maalufu sana kwa simu za SPD inaitwa spd upgrader
hii tool unaweza dowload kwenye hiyo link hapo chini
Download SPD Upgrade Tool (all versions)
lakini kwa simu za MTK mala nyingi watu hutumia nck clack na zingine lakini mimi hua napendelea sana kutumia miracle thunder
Ukihitaji utaomba link lakini nyingine nzuri zaidi hua tunatumia MRTdongle nimeelezea kwa uchache ili kama kuna mtu anashida yeyote inayohusina na software kwenye simu yake awasilishe na tatizo tutalichangamkia soon atapata ufumbuzi kumbuka ni kwa simu zilizokwisha kuzima kabisa ama zikiwaka hazimalizi na zingine zenye shida ndogo ndogo kama pass na FRP
NAWASILISHA