Flash inaandika write protection

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
2,674
2,801
Wakuu,
Nina Flash ya Imation 8GB, kuna siku nilikuwa nacopy movie kutoka kwenye computer.

Wakati bado inakopi movie nikachomoa flash, sasa kuirudishia tena ina niambia, "Remove write protection". Haitaki kukopi wa kutoa chochote... Inataka nitoe hiyo write protection.

Naombeni, Masada jinsi ya kutoa hiyo write protection.
 
Back
Top Bottom